+255(0)232604380/1/3/4 | P.O. Box 9, Mzumbe, Morogoro - Tanzania

Aug 04, 2022 692times

DIRISHA LA UDAHILI BADO LIPO WAZI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023

Bi. Bernadetha Iteba,Mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu Mzumbe kwenye Kitivo cha Sheria akimsaidia mhitimu wa kidato cha sita kutuma maombi kwa njia ya mtandao wakati wa maonesho ya vyuo vikuu yaliyofanyika mwezi july 2022 jijini Dar es Salaam. Bi. Bernadetha Iteba,Mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu Mzumbe kwenye Kitivo cha Sheria akimsaidia mhitimu wa kidato cha sita kutuma maombi kwa njia ya mtandao wakati wa maonesho ya vyuo vikuu yaliyofanyika mwezi july 2022 jijini Dar es Salaam.

Dirisha la udahiri kwa awamu ya kwanza bado lipo wazi kwa mwaka wa masomo 2022/2023,Kitivo cha sheria kinatoa programu katika ngazi ya cheti,astashahada,shahada ya kwanza,shahada ya uzamili na shahada ya uzamivu.

Tuma maombi yako kwa njia ya mtandao  ili uweze kujiunga na Chuo Kikuu Mzumbe.

Shahada ya sheria inatolewa kwenye kampusi za Morogoro na mbeya,Astashahada katika sheria inatolewa kampasi ya mbeya tu na Ngazi ya cheti katika Sheria inatolewa kampusi ya Morogoro pekee.Programu ya shahada ya pili na ya tatu zinatolewa Kampasi Kuu ya Morogoro.

Picha hapa chini ni Bi. Bernadetha Iteba,Mwakilishi wa kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu Mzumbe kwenye maonesho ya Vyuo Vikuu yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi moja akiwahudumia wananchi mbalimbali waliotembelea banda la Chuo Kikuu Mzumbe.

                       

                                    

 

 

Go to top
JSN Educare is designed by JoomlaShine.com | powered by JSN Sun Framework