+255(0)232604380/1/3/4 | P.O. Box 9, Mzumbe, Morogoro - Tanzania

Jan 28, 2022 369times

Kitivo cha Sheria Kinashiriki Wiiki ya Sheria 2022

Kitivo cha sheria cha Chuo Kikuu Mzumbe kinashiriki wiiki ya sheria kwa kutoa msaada wa ki-sheria, tumeweka dawati letu pale maeneo ya viwanja vya fire Mjini Morogoro ambapo tupo na wadau wengine  kama tulivyoshirikishwa na Mh. Jaji Mfawidhi kanda ya Morogoro

Go to top
JSN Educare is designed by JoomlaShine.com | powered by JSN Sun Framework