+255(0)232604380/1/3/4 | P.O. Box 9, Mzumbe, Morogoro - Tanzania

Sep 12, 2017 566times

Udahili Kituo cha Mwanza

Chuo Kikuu Mzumbe kimeahirisha udahili wa wanachuo wa programu zote zinazotolewa katika Kituo cha Kufundishia cha Mwanza cha Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kufuatia maagizo ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).

Tafadhali Pakua Kiambatanishi kwa taarifa zaidi

Go to top
Template by JoomlaShine